
Filamu mpya ya mwigizaji mkubwa na mwenye ushawishi zaidi duniani Will Smith Bright, imepondwa sana na wachambuzi wa filamu Marekani ata baada ya kupata watazamaji wengi kwenye kituo cha Netflix

Filamu hii iliyotayarishwa na David Ayer imetazamwa na watu milioni 11 ndani ya siku tatu kwenye Netflix,
Filamu hii imekosolewa na wengi huku rapa Chance
The Rapper akidai imetaka kuongelea ubaguzi Marekani kwa kutumia watu wa
aina tofauti badala ya kuweka mzungu na mtu wa rangi nyingine, anasema
ubaguzi unahusu hisia za watu/binadamu halisi na sio kiumbe kingine.
Netflix inayomiliki filamu hii imetangaza toleo jipya la filamu hii mwakani.
No comments:
Post a Comment