WIZKID NA KUNDI LAKE LA STARBOY WATOA SINGO YA KWANZA YA PAMOJA - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 27 March 2018

WIZKID NA KUNDI LAKE LA STARBOY WATOA SINGO YA KWANZA YA PAMOJA



Staa wa muziki kutokea Nigeria Wizkid ‘Starboy’ anakukaribisha kuitazama video ya wimbo mpya wa ‘Socco” akiwa na kundi lake la Starboy ambalo linaundwa na wasanii wanne(4) Spotless,  Ceeza Milli, Teri pamoja na Wizkid mwenyewe

No comments:

Post a Comment