Ikulu yatuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Jaji Mstaafu, Robert Kisanga - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday, 24 January 2018

Ikulu yatuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Jaji Mstaafu, Robert Kisanga


Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Jaji Mstaafu, Robert Kisanga



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mh. Robert Kisanga kilichotokea tarehe 23, Januari mwaka huu, Katika Hospitali ya Regence ya Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu

No comments:

Post a Comment