SERIKALI YAVUNJA MKATABA NA TBA - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday, 24 January 2018

SERIKALI YAVUNJA MKATABA NA TBA


Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Josephat Kandege.
SERIKALI imevunja mkataba na Wakala wa Majengo TBA baada ya kutoa taarifa za uongo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu ujenzi wa majengo ya Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Butiama na halmashauri mpya Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
Wiki iliyopita kuwa wakala huyo wa majengo alipewa onyo na Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako baada ya kusuasua kuanza mradi wa Ujenzi wa Madarasa, Ofisi za Chuo Kikuu cha Muhimbili Kampasi ya Mloganzila huku wakiwa wamepewa fedha na Serikali tayari.

No comments:

Post a Comment