Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar
es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwangalia
Profesa Ibrahim Hamis Juma akitia sahihi hati ya kiapo baada ya
kumuapisha kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 11, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka
sahihi hati ya kiapo baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa
Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyezo za kazi baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji
Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika Job Ndugai, Profesa Ibrahim Hamis
Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa
Palamagamba kabudi na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman
katika picha ya kumbukumbu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim
Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika Job Ndugai, Profesa Ibrahim Hamis
Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa
Palamagamba kabudi na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman
katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufaa na wa Mahakama
kuu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu
wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu
wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman
katika picha ya kumbukumbu na Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na
Usalama baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji
Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika
picha ya kumbukumbu na watendaji waandamizi Serikalini baada ya Rais
kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika
picha ya kumbukumbu na watendaji waandamizi wa Mahakama kuu baada ya
Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika
picha ya kumbukumbu na Majaji wastaafu baada ya Rais kumuapisha Profesa
Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika
picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda
na Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Mkoa huo Lazaro Mambosasa
baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Jaji Mkuu mpya Profesa Ibrahim Hamis Juma na mkewe Mama Marina
P. Juma na wajukuu wao baada ya Rais kumuapisha Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Jaji Mkuu
mpya Profesa Ibrahim Hamis Juma na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzaia Mhe. job Ndugai baada ya Rais Kumuapisha Profesa Juma Ikulu
jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpatia
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh abubakary Zubeiry Ally wakati wa hafla ya
kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
No comments:
Post a Comment