Siku chache
tu baada ya kusambaa kwenye mitandao ya kijamii sauti iliyodhaniwa kuwa
ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akijadili namna ya
utendaji wa Bunge na Awamu ya Tano ya Rais Magufuli mwenyewe ametolea
ufafanuzi.

Ameeleza kuwa sauti hiyo siyo ya kwake
na kwamba imetengenezwa na kuongeza kwamba sauti hiyo imetengenezwa na
wapinzani ili kumfarakanisha yeye na viongozi wa serikali na walio chini
yao.

“Naomba mzipuuze habari hizi
kwa kiwango kinachostahili kwani zote ni uzushi mtupu , badala yake
elekezeni macho, fikra na mikakati yenu katika uchaguzi unaokuja.” – RC Ole Sendeka

No comments:
Post a Comment