Rais Magufuli Ateua Mkurugenzi mpya wa TANESCO - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday, 18 January 2018

Rais Magufuli Ateua Mkurugenzi mpya wa TANESCO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Januari, 2018 amemteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

No comments:

Post a Comment