Polisi Arusha wamshikilia Kijana aliyeandika kwenye ukurusa wake wa Facebook kuwa Tundu Lissu angeuawa - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday 9 September 2017

Polisi Arusha wamshikilia Kijana aliyeandika kwenye ukurusa wake wa Facebook kuwa Tundu Lissu angeuawa


Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshilikia kijana mmoja afahamikae kwa jina la Abuu aliyesambaza ujumbe kwenye account yake ya Facebook maneno makali kuhusu Mh Tundu lissu akisema ni bora majambazi wangemuuwa ameshikwa ili akawasaidia polisi. Mpaka sasa yuko kituo cha polisi Kijenge Arusha kwa kuhojiwa zaidi.

No comments:

Post a Comment