Real Madrid yashinda kombe la UEFA Super Cup - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 9 August 2017

Real Madrid yashinda kombe la UEFA Super Cup


Usiku wa August 8 2017 mchezo ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu wa UEFA Super Cup kati ya Bingwa wa UEFA Champions League Real Madrid dhidi ya Bingwa wa Europa League Man United ulichezwa katika uwanja wa Nacionalna Arena.

Real Madrid ambao walianza game bila uwepo wa staa wao Cristiano Ronaldo aliyeingia dakika 8 za mwisho, wamefanikiwa kupata Ubingwa wa UEFA Super Cup kwa kuifunga Man United kwa magoli 2-1, magoli ya Real yakifungwa na Casemiro dakika 24, Isco dakika ya 52 na Man United walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa Romelu Lukaku dakika ya 62.

No comments:

Post a Comment