Matokeo ya michezo ya leo ligi ya Epl haya hapa - TANZA MEDIA ONLINE

Sunday 20 August 2017

Matokeo ya michezo ya leo ligi ya Epl haya hapa

Image result for KOMBE LA EPL





Manchester United wameendeleza dozi baada ya leo tena wakiwa ugenini kutoa kipigo kikali kwa Swansea Fc cha mabao manne na kuendelea kujikita kileleni mwa ligi.
Kipindi cha kwanza dakika ya 45 Eric Bailly alifunga bao la kuongoza kabla ya Romelu Lukaku dakika ya 80, Paul Pogba dakika ya 82 na Anthony Martial dakika ya 84 kufunga lingine.

Leicester City walikuwa wakiwa King Stadium huku wakiibuka na ushindi wa bao mbili kwa sifuri kwa mabao ya Shinji Okazaki dakika ya kwanza na Harry Maguire dakika ya 54.

Watford wakiwa ugenini waliifunga AFC Bournamouth bao moja kwa sifuri huku West Bromich Albion nao wakiwa ugenini walifanikiwa kuifunga Burnley bao moja kwa nunge

Liverpool wakiwa Anfield waliifunga Crystal Palace kwa goli pekee la Sadio Mane dakika ya 73, huku Javier Chicharito akafunga mara mbili akishindwa kuikoa West Ham kupokea kipigo cha mabao matatu kutoka kwa Southampton.Mabao ya Soutampton yalifungwa na Manolo Gabiadinni, Dustan Tadic na Charlie Austin katika mchezo ambao West Ham walimaliza pungufu baada ya Marco Arnautovic kupewa kadi nyekundu. 

 Arsenal yenyewe imelala kwa bao moja dhidi ya stoke city,goli pekee la stoke city limefungwa na kijana machachari Jesse

Kwa matokeo ya leo Manchester United wamejikita kileleni mwa ligi na alama zao 6 na mabao 8, huku Romelu Lukaku akiongoza orodha yawafungaji kwa kuwa na mabao 3 hadi sasa.

 017–18 Premier League
Standings
#
Team
MP
W
D
L
GF
GA
GD
Pts

1
2
2
0
0
8
0
8
6

2
2
2
0
0
2
0
2
6

3
2
1
1
0
5
3
2
4

4
2
1
1
0
4
3
1
4

5
2
1
1
0
3
2
1
4

6
1
1
0
0
3
0
3
3

7
1
1
0
0
2
0
2
3

8
1
1
0
0
2
0
2
3

9
2
1
0
1
5
4
1
3

10
1
1
0
0
1
0
1
3

11
2
1
0
1
4
4
0
3

12
2
1
0
1
3
3
0
3

13
2
1
0
1
1
1
0
3

14
2
0
1
1
0
4
-4
1

15
1
0
0
1
2
3
-1
0

16
1
0
0
1
0
2
-2
0

17
2
0
0
2
0
3
-3
0

18
2
0
0
2
0
4
-4
0

19
2
0
0
2
0
4
-4
0

20
2
0
0
2
2
7
-5
0

No comments:

Post a Comment