Everton walikuwa nyumbani Goodison Park kuikaribisha Hajduk
Split na mabao mawili kutoka kwa mlinzi Michael Keane na Idrisa Gueye
yaliifanya Everton kuibuka kidede kwa bao 2 kwa nunge.
Ac Millan walishusha kipigo cha mbwa mwizi kwa KF Shkendija baada ya
kuwapiga sita sifuri kwa mabao ya Andre Silva na Ricardo Montolivo
waliofunga mara mbilimbili huku Fabio Borini na Luca Antoneli wakifunga
mengine.
Ajax wakiwa katika uwanja wao wa Amsterdam Arena walikubali kipigo
cha bao moja kwa sifuri kutoka kwa Rosenrburg huku Fk Skobje wakiibamiza
Fernabache mabao 2 kwa nunge.
chanzo:shaffihdauada.com
chanzo:shaffihdauada.com
No comments:
Post a Comment