List ya wachezaji 24 wanaowania tuzo ya mchezaji bora FIFA 2017. - TANZA MEDIA ONLINE

Friday 18 August 2017

List ya wachezaji 24 wanaowania tuzo ya mchezaji bora FIFA 2017.



Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo Alhamisi ya August 17 limetaja list ya majina ya wachezaji 24 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa FIFA kwa mwaka 2017, FIFA wametaja list hiyo ambapo club ya Real Madrid ndio imeingiza majina ya wachezaji wengi zaidi.
 
Wachezaji saba wa Real Madrid wamepata nafasi ya kuingia katika list hiyo, katika list ya wachezaji 24 kuna jina la mchezaji mmoja wa Afrika amefanikiwa kuwa nominated huyu ni Pierre Emerick Aubameyang nahodha wa timu ya taifa ya Gabon anayechezea Borussia Dortmund ya Ujerumani.

Pierre Emerick Aubameyang

No comments:

Post a Comment