MAJARIDA , MAGAZETI YOTE KUSAJILIWA UPYA. - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 23 August 2017

MAJARIDA , MAGAZETI YOTE KUSAJILIWA UPYA.



Serikali imesema imeanza utekelezaji wa kifungu cha 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari 2016 ya kutoa leseni za machapisho mbalimbali ikiwemo magazeti na majarida yote nchini na hivyo kuwataka wamiliki wa magazeti na majarida ambao wana usajili wa zamani kuhakikisha hadi Oktoba, 15 wamekamilisha taratibu na kupatiwa leseni mpya.



 kupatiwa leseni mpya.

No comments:

Post a Comment