WILFRED KIDAU ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU MKUU TFF - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 23 August 2017

WILFRED KIDAU ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU MKUU TFF

kidau-001
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imepitisha jina la Kidao Wilfred kuwa Kaimu Katibu Mkuu.

Kidao ambaye ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Makocha Tanzania (TAFCA), ameteuliwa rasmi jana Agosti 22, 2017 na Kamati ya Utendaji ya TFF. Wasifu wa Kidao utawajia punde.

No comments:

Post a Comment