JPM Amteua Naibu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU - TANZA MEDIA ONLINE

Monday 21 August 2017

JPM Amteua Naibu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU).

No comments:

Post a Comment