Mbali na Diamond Platnumz & Neyo wafuatao ni wakali watakaokinukisha #JembekaFestival May 21 ndani ya CCM Kirumba, Mwanza - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 21 April 2016

Mbali na Diamond Platnumz & Neyo wafuatao ni wakali watakaokinukisha #JembekaFestival May 21 ndani ya CCM Kirumba, Mwanza

Ifuatayo ni list ya wasanii ambao mpaka sasa wameshatambulishwa na kuthibisha kuwepo ndani ya #JembekaFestival2016 katika viwanja vya CCM Kirumba tarehe 21/05/2016 jijini Mwanza, unakosaje sasa kumshuhudia  DIAMOND PLATNUMZ & NEYO katika jukwaa moja.
JEMBEKA 2016 (5)
JEMBEKA 2016 (10) (1)

No comments:

Post a Comment