KAULI YA MASAU BWIRE BAADA YA MATOKEO YA YANGA DHIDI AL AHLY - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 21 April 2016

KAULI YA MASAU BWIRE BAADA YA MATOKEO YA YANGA DHIDI AL AHLY

Post ya MASAU BWIRE 👇
Imekuwa siku ngumu sana kwangu Alhamisi ya leo! Nimeshindwa kabisa kushiriki mazoezi ya asubuhi, akili inaelekeza lkn mwili unakataa!
Matokeo ya Al Ahly na Yanga hakika kutoka rohoni mwangu yameniumiza na kuitesa sana roho yangu!
Mimi ni Mtanzania, hatakama siishabikii Yanga, katika mashindano ya kimataifa lazima niishangilie tu, mimi mzalendo, na huo ndio uzalendo.
Hata hivyo, vijana walipambana, wamekufa kiume! Big up sana!
Abdul na Ngoma walionesha uwezo na jitihada binafsi  kupatikana kwa lile bao!
Lakini, najua Mungu ajua, nawe wajua hivyo!
Niwatakie siku njema japo ina machungu mengi kwa wananchi, wazalendo wa Tanzania!

No comments:

Post a Comment