UNICEF YAMPA DAVID BECKHAM TUZO YA HESHIMA - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 13 January 2016

UNICEF YAMPA DAVID BECKHAM TUZO YA HESHIMA


Ustaa wa David Beckham si tu kwenye soka..baada ya kustaafu soka amekua akishiriki katika mambo mbalimbali ikiwemo mitindo pamoja na kushiriki shughuli za kijamii.
Jana Shirika linalosimamia haki za watoto UNICEF limemzawadia tuzo ya heshima staa huyo baada ya kuonyesha mchango mkubwa katika kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu.
Sherehe za yuzo hizo zilifanyika jana huko Beverly Hills na kuhudhurikiwa na baadhi ya mastaa akiwemo Mariah Carey ambaye alikua akitoa burudani, Selena Gomez, Lionel Richie, Elton John, Michelle Rodriguez, pamoja na Nicole Kidman.
mari
Mwanamuziki Mariah Carey akitumbuiza

sele
Selena Gomez
Beckham alifanikiwa kupata tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kushiriki kwenye shughuliza jamii ikiwemo kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kupitia miradi yao.
ing

No comments:

Post a Comment