HIKI NDIO KIATU KIPYA ADIDAS WALICHOMTENGENEZEA LIONEL MESSI BAADA YA KUTWAA BALLOND'OR YA TANO - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 13 January 2016

HIKI NDIO KIATU KIPYA ADIDAS WALICHOMTENGENEZEA LIONEL MESSI BAADA YA KUTWAA BALLOND'OR YA TANO



Kampuni ya Adidas ambao ni wadhamini wa Lionel Messi wamemtengenezea bongo la kiatu.

Adidas wamemtengenezea Messi kiatu hicho kipya mara tu baada ya kutwaa tuzo ya tank ya mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon d'Or.

Mchezaji huyo mwenye kipaji cha aina yake ameweka rekodi ya kuwa mwanasoka wa kwanza kuchukua tuzo hizo tano.

Cristiano Ronaldo ambaye ni mpinzani wake mkubwa ameendelea kubaki na tuzo tatu.






No comments:

Post a Comment