Askofu Mndolwa Akutana na Rais magufuli - TANZA MEDIA ONLINE

Monday 21 May 2018

Askofu Mndolwa Akutana na Rais magufuli



Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Maimbo Mndolwa jana alikutana na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania.

Akifanya mazungumzo na Rais Magufuli, Askofu Mndolwa alisema kuwa, Tanzania inayokuja inaonekana anaiona yenye kuwa na neema ya kipekee licha ya changamoto zilizopo.

No comments:

Post a Comment