Wabunge na Madiwani wa CHADEMA wakutana na Mabalozi wa EU - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 29 March 2018

Wabunge na Madiwani wa CHADEMA wakutana na Mabalozi wa EU

March 29, 2018 Wabunge na Madiwani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewasili kwenye ubalozi wa umoja wa ulaya kushinikiza kupatiwa dhamana viongozi wa chama hicho akiwemo Freeman Mbowe.
Miongoni mwa Viongozi waliofika katika ubalozi huo ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Meya wa Ubungo Bonface Jacob ambapo wametahadhalisha usalama wa Viongozi hao pamoja wafuasi wa chama hicho.


No comments:

Post a Comment