Jeshi la Polisi Lakanusha Kuhusika na Kifo cha Kijana Allen Mapunda Huko Mbeya - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 29 March 2018

Jeshi la Polisi Lakanusha Kuhusika na Kifo cha Kijana Allen Mapunda Huko Mbeya


MBEYA: Jeshi la Polisi limeutaarifu umma wa Watanzania kuwa halihusiki kwa namna yoyote na kifo cha kijana Allen Mapunda(20) anayedaiwa kufariki saa chache baada ya kutoka Kituo cha Polisi. - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Mohammed Mpinga amewaambia Wanahabari kuwa, Jeshi hilo limeanza kufanya uchunguzi...

No comments:

Post a Comment