Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wamejumuika
na waumini wengine katika ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la
Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo March 25, 2018
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe leo akiwa katika ibada ya Jumapili ya Matawi KKKT Azania Front Posta ya zamani Dar es salaam
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu,Mhe Edward Lowasssa,
leo akiwa katika ibada ya Jumapili ya Matawi KKKT Azania Front Posta ya
zamani Dar es salaam.
…Wakitoka nje ya kanisa.



No comments:
Post a Comment