Utafiti mpya umeonyesha sababu kuu za mwewe kuzui kuingia nchini Ureno wakiwa wanapendelea zaidi nchini Uhispania.
Watafiti
kutoka nchini Ureno na Uhispania waliwawekea alamamwewe 72 kwa miaka
mitatu na kugundua kuwa ni 13 tu waliongia nchini Ureno kuwa kipindi
hicho.
Wanasayansi wanasema kuwa mwewe hao wanazuia kuingia nchini Ureno kutafua chakula sababu ikiwa ni ugonjwa wa kichaa cha ng;ombe.
Eneko
Arrondo kutoka kundi la watafitri la Donana Biological Station, anasema
sheria kali za Ureno zinazozuia kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha
ng'ombe, zinahitaji wakulima kuondoa mizoga yote kutoka kwa mashamba.
Hii inamaana kuwa ndege hao hawapati fursa ya kula mizoga hao.
Uhispania ilitumia nafasi hiyo kuyapa mabaraza
kuamua ikiwa wangewacha mizoga hiyo mashambanni kwa kuwa nchi hiyo ni
nyumbani kwa asilimia 90 ya mwewe barani ulaya.
Tangua wakati huo wanasayansi wamegundua upungufu wa ghafla wa mwewe waonavuka na kuingia nchini Ureno.
Uchunguzi wao unaonnyesha kuwa hali hiyo imetokana na uwepo wa mizoga badala ya mabadiliko ya hali ya hewa.
No comments:
Post a Comment