Zari Hassan adhibitisha kuachana na Diamond - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday, 24 February 2018

Zari Hassan adhibitisha kuachana na Diamond


Mfanyabiashara na mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amesema kurudiana na Diamond haiwezekani na ataendelea kuwa Boss Lady kuimarisha zaidi biashara zake sababu alikuwa hivyo hata kabla ya kukutana naye.Akizungumza na Kituo cha BBC nchini Uingereza alikoenda kikazi, Zari alisema anaendelea na maisha yake ya kuandaa matamasha pamoja ku-host na anatarajia kuja na ‘realty show’ yake inayokwenda kwa jina la Life of Zari The Boss Lady.






No comments:

Post a Comment