MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAANDIKIA CHADEMA BARUA - TANZA MEDIA ONLINE

Friday, 23 February 2018

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAANDIKIA CHADEMA BARUA


Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kujieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.
Chadema waliandamana Februari 16 mwaka huu wakishinikiza kupewa viapo vya mawakala wao kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni.

No comments:

Post a Comment