Mowzey Radio Kuzikwa Leo Kaga - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday, 3 February 2018

Mowzey Radio Kuzikwa Leo Kaga

Mowzey Radio Kuzikwa Leo Mwili Wake Wawasili Kaga

Mwili wa mwanamuziki wa Kundi la Goodlyfe, Mowzey Radio umewasili kijijini kwa mama yake, Kaga asubuhi hii kwaajili ya shughuli za mazishi mchana wa leo.

Mwili wa marehemu ukiwasili kijijini hapo

Muimbaji huyo wa Uganda alifariki Alhamisi hii akiwa katika hospitali ya Case ya nchini humo baada kudaiwa kushambuliwa na baunsa na kusababishiwa kuvunjika fuvu la kichwa pamoja na uti wa mgongo.

Wadau mbalimbali wa muziki nchini humo pamoja na Afrika mashariki wanatarajia kuhudhuria mazishi hayo

No comments:

Post a Comment