Lowassa alivyofika nyumbani kwa Kingunge kuhani msiba - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday, 3 February 2018

Lowassa alivyofika nyumbani kwa Kingunge kuhani msiba

Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa jioni ya  February 2, 2018 alifika nyumbani kwa aliyekuwa muasisi wa Taifa na rafiki yake wa siku nyingi Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyefariki alfajiri yake katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

Lowassa ameungana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, Spika Mstaafu Pius Msekwa na mke wake Mama Anna Abdallah, Mkuu wa Polisi mkoa wa Dar es salaam mstaafu Suleiman Kova na viongozi wengine.


No comments:

Post a Comment