Aliyekuwa
mkuu wa jeshi la Zimbabwe Constantino Chiwenga na aliyekuwa Waziri wa
Ulinzi chini ya Robert Mugabe, Kembo Mohadi wameapishwa kuwa Makamu wa
Rais wa nchi hiyo.
Chiwenga na Mohadi waliteuliwa Desemba 27, 2017 na Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa.
No comments:
Post a Comment