CNN: Uongozi wa Donald Trump umeongeza idadi ya wasanii wanaoimba kuhusu Siasa Marekani - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday, 3 January 2018

CNN: Uongozi wa Donald Trump umeongeza idadi ya wasanii wanaoimba kuhusu Siasa Marekani

 

CNN Wanasema Uongozi wa Donald Trump umefanya wasanii wengi zaidi kuimba kuhusu Siasa na kukosoa serikali ya Marekani mwaka 2017.
Kituo hichi kikubwa cha habari kinasema kumekuwa na muongezeko wa kazi za Conscious Rap kutoka kwa wasanii wakubwa Marekani huku jamii ikiziunga mkono kazi huzo za sanaa na kuonyesha kutaka kusikilizwa kwa hoja zao na hitaji la mabadiliko kwa jamii ya watu weusi nchini Marekani.

Wasanii waliotajwa na CNN kuwa wameongoza kampeni hii ni 
 
1) Jay-Z >Kupitia album yake ya 4:44 katika nyimbo kama “The Story of O.J.”
2) Eminem> Alifanya free style kali kumpinga Donald Trump na kusema hataki kuwa na mashabiki wanaounga mkono Serikali yake katika tuzo za HipHop za BET
3) Kendrick Lamar
4) Rapsody
5) Joey Bada$$
6) J. Cole
7) Vic Mensa

No comments:

Post a Comment