Rais Dkt John Magufuli amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Shein Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Philip
Mangula Makamu Mwenyekiti Bara na Kanali Abdulrahman Kinana kuwa Katibu
Mkuu wa CCM Taifa.
Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Shein Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Philip
Mangula Makamu Mwenyekiti Bara na Kanali Abdulrahman Kinana kuwa Katibu
Mkuu wa CCM Taifa.
Matokeo kura za Makamu Mwenyekiti CCM Bara. KURA Zilipopigwa- 1827,
zilizoharibika- 1, halali- 1826, Ndiyo- 1826, Makamu Mwenyekiti CCM
Bara, Phillip Mangula.
zilizoharibika- 1, halali- 1826, Ndiyo- 1826, Makamu Mwenyekiti CCM
Bara, Phillip Mangula.
Matokeo ya kura za Mwenyekiti wa CCM Taifa. KURA Zilizopigwa 1821,
Halali 1821, Zilizoharibika 0, Hapana 0, Ndiyo 1821, Mwenyekiti CCM
Taifa, Rais Dk. Magufuli.
Halali 1821, Zilizoharibika 0, Hapana 0, Ndiyo 1821, Mwenyekiti CCM
Taifa, Rais Dk. Magufuli.
Matokeo ya kura za Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. KURA
Zilizopigwa 1821, Halali 1821, Zilizoharibika 0, Hapana 0, Ndiyo 1821,
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais Dk. Shein.
Zilizopigwa 1821, Halali 1821, Zilizoharibika 0, Hapana 0, Ndiyo 1821,
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais Dk. Shein.
Washindi UNEC CCM Bara
-Steven Wassira
-Jerry Silaa
-Dr F. Mukangara
-Angel Akilimali
-Jackson Msome
-Dr Ibrahim Msengi
-Theresia Mtewele
-Mwantumu Zodo
-Ernest Sungura
-Deougratius Ruta
-Eng Burton Kihaka
-William Sarakikya
-Richard Charles
-Anna Msuya
-Charles Shanda
No comments:
Post a Comment