Serikali Yapokea taarifa ya Madini yaliyozuiwa Airport, DSM - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday 9 September 2017

Serikali Yapokea taarifa ya Madini yaliyozuiwa Airport, DSM







Muda huu kutokea uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Waziri wa fedha na
mipango’ Dkt. Philip Mpango anapokea taarifa ya madini ya Almasi
yaliyokamatwa yakisafirishwa kwenda nje ya nchi na kuzuiwa.

No comments:

Post a Comment