Maneno ya Lema baada ya Ofisi za Wakili wa Manji kuvamiwa - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 13 September 2017

Maneno ya Lema baada ya Ofisi za Wakili wa Manji kuvamiwa


Moja ya stori zilizo-make headline jana September 12, 2017 ni pamoja na kuvamiwa kwa Ofisi za Wakili Hudson Ndusyepo ‘Prime Attorneys’ ambaye anamtetea Mfanyabiashara Yusuf Manji ambapo nyaraka kadhaa zimeibiwa.
Kuvamiwa kwa Prime Attorneys kunakuja siku 18 baada ya kuvamiwa na kulipuliwa kwa Ofisi za IMMMA Advocates ambapo watu wamekuwa wakilaani tukio hilo na miongoni mwao ni Mbunge Godbless Lema ambaye ni Mbunge wa Arusha Mjini.
Kupitia Twitter yake Lema aliandika

"Kitendo cha ofisi ya Mawakili wa Manji kuvamiwa ni hatari kwa Uhuru wa mahakama, baada ya Mawakili wataokafuata ni Majaji.”

No comments:

Post a Comment