Ripoti ya MCT kuhusu Uchunguzi wa uvamizi wa Clouds Media Group - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 15 August 2017

Ripoti ya MCT kuhusu Uchunguzi wa uvamizi wa Clouds Media Group


Baraza la Habari Tanzania ‘MCT’  August 14, 2017 limetoa ripoti kuhusu hali na mwenendo wa tasnia ya habari Tanzania ambapo mbali na ripoti ya jumla pia ilitoa ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa Clouds Media Group uliofanywa na RC wa Dar es Salaam March 17, 2017.
kwa ufafanuzi na maelezo zaidi angalia video hapo chini

No comments:

Post a Comment