RC Makonda Atoa Msaada wa Miguu Bandia kwa Walemavu - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 15 August 2017

RC Makonda Atoa Msaada wa Miguu Bandia kwa Walemavu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na watu wenye ulemavu wa miguu kutoka jijini Dar es Salaam na mikoa ya jirani, ambapo ameahidi kuwapatia miguu ya bandia lakini ikiwa ni baada ya kila mmoja kufanyiwa vipimo vya kitaalamu.

Makonda amesema anayafanya yote hayo kwa niaba ya rais Magufuli kwani kama si yeye kumchagua na kumpa nafasi ya kuwahudumia wananchi, asingepata nafasi ya kuwasaidia.
Tizama video hapo chini.

No comments:

Post a Comment