POLEPOLE AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI TANZANIA - TANZA MEDIA ONLINE

Monday 21 August 2017

POLEPOLE AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI TANZANIA


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Poloepole akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 21, 2017.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Poloepole akilipokuwa akimkaribisha Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson, katika ukumbi wa Sekretarieti kwa ajili ya mazungumzo, baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 21, 2017

No comments:

Post a Comment