Mahakama Yakataa Kupokea Msokoto wa Bangi Kama Kielelezo Kwenye Kesi ya Wema Sepetu - TANZA MEDIA ONLINE

Friday 1 September 2017

Mahakama Yakataa Kupokea Msokoto wa Bangi Kama Kielelezo Kwenye Kesi ya Wema Sepetu


Hakimu Mkazi Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imekataa kupokea ushahidi wa msokoto wa bangi na vipisi viwili vya madawa hayo ya kulevya katika kesi inayomkabili mwigizaji Wema Sepetu

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Thomas Simba, aliyesema mahakama haiwezi kupokea vielelezo hivyo kwa sababu msokoto wa bangi na vipisi vina kasoro kwa kuwa shahidi hakuvifafanua mahakamani. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 12 mwaka huu.
 

No comments:

Post a Comment