MAHAKAMA YAAMURU MKUTANO MKUU SIMBA UFANYIKE KAMA ILIVYOPANGWA - TANZA MEDIA ONLINE

Sunday 13 August 2017

MAHAKAMA YAAMURU MKUTANO MKUU SIMBA UFANYIKE KAMA ILIVYOPANGWA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu usiku wa jana iliyatupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba walioomba kusitisha Mkutano Mkuu wa Jumapili Agosti 13, 2017.
Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema anakubaliana mapingamizi ya wajibu maombi kwamba wapo baadhi ya wajumbe wameanza kufika Dar es Salaam na kwamba Klabu hiyo imelipia ukumbi akiongeza kuwa ameona gharama isiwe kubwa na kwamba waleta maombi wanaweza kupeleka malalamiko yao katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment