KIKOSI KIPYA CHA TAIFA STAR KITAKOCHEZA DHIDI YA BOTSWANA - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday 26 August 2017

KIKOSI KIPYA CHA TAIFA STAR KITAKOCHEZA DHIDI YA BOTSWANA

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Salum Mayanga leo Jumamosi ya August 26 2017 ametangaza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kitakachojiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliyopo katika kalenda ya FIFA dhidi ya Botswana September 2 Dar es Salaam.

Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 21 na kumjumuisha beki wa Yanga Kelvin Yondani ambapo miezi kadhaa nyuma aliacha kuitwa baada ya kuitwa na kocha Mkwasa wakati huo na kutoitikia wito wala kuonekana kambini pasipo taarifa  yoyote.
                                List ya wachezaji 21 waliyoitwa Taifa Stars

No comments:

Post a Comment