Alikiba, Diamond, Lulu na Flaviana watajwa 100 bora ya Vijana Afrika - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 30 August 2017

Alikiba, Diamond, Lulu na Flaviana watajwa 100 bora ya Vijana Afrika



Tuzo za VIJANA 100 WA AFRIKA wenye ushawishi mkubwa kwa jamii kwa mwaka 2017 zimeiachia orodha ya vijana wa mataifa mbalimbali waliochaguliwa kuwania ambapo orodha inaendelea kutajwa na mpaka sasa Watanzania wanne wametajwa.

Watanzania hao ni Waimbaji Alikiba, Diamond Platnumz, Mwanamitindo Flaviana Matata na Lulu Michael… wengine ambao wametajwa tayari wanatokea kwenye mataifa ya South Africa, Libya, Ghana na Nigeria.

.











chanzo:millardayo.com

No comments:

Post a Comment