BEYONCE AZIDI KUWEKA REKODI DUNIANI - TANZA MEDIA ONLINE

Friday 10 June 2016

BEYONCE AZIDI KUWEKA REKODI DUNIANI

Album mpya ya rnb staa Beyonce Aka Queen Bey ‘Lemonade’ imeuza kopi milioni moja mpaka June 8 2016. Kwa sasa Album zote za Beyonce zimefika level hii.

LEMONADE ilishika namba moja kwenye billboard to 200 wiki ya kwanza ya kutoka ikiwa imeuza kopi 653,000 ikiwa kopi 485,000 ni kopi za Cd.
REKODI>LEMONADE ina nyimbo 12 na zote ziliingia kwenye chati ya Billboard Hot 100 kwa wakati mmoja na kumfanya awe msanii wa kwanza wa kike kuweka rekodi hii ya kuwa na nyimbo 12 kwenye chati kwa wakati mmoja.

No comments:

Post a Comment