YANGA BINGWA LIGI KUU VODACOM 2016/17 - TANZA MEDIA ONLINE

Sunday 8 May 2016

YANGA BINGWA LIGI KUU VODACOM 2016/17


Leo jioni timu ya Simba imekubali kichapo kitakatifu toka kwa timu ya Mwadui ya Shinyanga inayofundishwa na Kocha wa Zamani wa Simba Julio..Kichapo hicho cha goli moja kwa bila kimefanya sasa timu yanga kutangazwa na kutetea ubingwa wa ligi msimu wa 2015/16kwa vile hakuna timu inayoweza kufikisha point alizonazo Yanga.goli lililofungwa na Mchezaji Jamal Mnyate Dakika ya 73 ndio lililofuta kabisa ndoto za wana msimbazi kutwaa ubingwa mwaka huu na kupeleka shangwe na faraja katika mitaa ya jangwani

No comments:

Post a Comment