YALIYOJIRI USIKU WA JANA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MISS DAR CITY CENTRE 2016 - TANZA MEDIA ONLINE

Sunday 22 May 2016

YALIYOJIRI USIKU WA JANA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MISS DAR CITY CENTRE 2016

washiriki wote wakiwa katika picha ya pamoja kwenye vazi la usiku
 baadhi ya wadau wakifuatilia mshindano kwa umakini
 mshiriki namba 6&7 wakipita na vazi la ubunifu

 mshiriki namba 10 & 11 wakipita na vazi la ubunifi

msanii TID akiburudisha usiku huo
 mshiriki namba 5 




          jaji mkuu na jaji namba 2 wakitangaza matokeo 
                 baadhi ya warembo waliongianusu fainali (top 10)
             warembo waliongia nusu fainali (top 10)
 washiriki waliongia top 5


   majaji wakiwa bize kutekeleza kazi yao
 mmoja wa wakurugenzi wa Lino Aggency akiteta na mmoja ya warembo
   mshindi wa miss dar city centre talent 2016
      mshindi wa miss dar city centre Personality 2016
 top three ya miss dar cirty centre


mmoja ya wadau wa masuala ya urembo akifanya interview na watangazaji wa tv one

No comments:

Post a Comment