wasanii wa hiphop matajiri zaidi duniani 2016 - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 5 May 2016

wasanii wa hiphop matajiri zaidi duniani 2016

Puff Daddy
  1. Sean “Diddy” Combs bado anashikilia namba moja akiwa na utajiri wa dola milioni $750.
Dr Dre
2.Andre “Dr. Dre” Young anashikilia namba mbili kama mwaka jana akimiliki dola milioni $710 kutoka kwenye faida za biashara zake kama Beats By Dr. Dre.
Jay Z
3. Shawn “Jay Z” Carter anamiliki dola milioni $610 kutokana na faida ya kampuni yake ya kusikiliza muziki na kutazama kazi za wasanii ka kulipia ya TIDAL Na mikataba na wasanii wengine kupitia Roc Nation.
Birdman

4. Bryan “Birdman” Williams anashika namba yake ile ya nne akiwa na mkwanja dola milioni $110 million kutokana na lebel yake ya Cash Money.Drake

 5. Aubrey Drake Graham, Drake ameingia kwenye orodha hii akiwa namba 5 akimiliki dola milioni $60
  

No comments:

Post a Comment