SWIZZ BEATS KUMRUDISHA UPYA DMX - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 4 May 2016

SWIZZ BEATS KUMRUDISHA UPYA DMX

Baada ya ukimwa wa miaka 10 rapa DMX aka Dark Man X anatoa Official Studio Album chini ya Producer Swizz Beatz.
Swizz amesema DMX kwa sasa anamalizi album mpya kwenye studio yake, amekuwa Sober na yuko tayari kurudi na kuchukua nafasi yake kwenye Hiphop.
Jipya lingine ni kuwa Kanye West na Dr Dre atakuwepo kwenye album hii ya DMX ikiwa na mara ya pili wanafanya kazi pamoja baada ya kufanya kazi mwaka 2003, ambapo Kanye West alitengeneza album ya “Dogs Out” kwenye album ya DMX yaGrand Champ.

No comments:

Post a Comment