Proffessor jay Akubali ku shut video ya machozi,Jasho na damu na hanscana. - TANZA MEDIA ONLINE

Friday 4 March 2016

Proffessor jay Akubali ku shut video ya machozi,Jasho na damu na hanscana.

jayy
Baada ya muongozaji wa video Tanzania,Hanscana kusema kuwa anatamani kufanya video za ngoma za zamani ikiwemo ile ya machozi,Jasho na damu ya Proffessor Jay,wazo hilo limepokelewa kwa moyo mkunjufu na msanii huyo ambaye sasa ni mbunge wa Mikumi.
Akizungumza na redio moja Proffessor Jay amesema kuwa amefurahishwa na wazo hilo kutoka kwa hascana na atamfuta na kuona wanakamilishaje historia hiyo.
Hiyo ni habari njema,moja kati ya mipango ambayo professor anayo na kilio cha mashabiki wangu..Machozi,jasho na damu ilikuwa ni classic album watu wanatakiwa waisikilize na waione zaidi.. kwa hiyo ni wazo zuri na nimelipokea kwa moyo mkunjufu ukizingatia Hanscana ni moja ya best director” alifunguka Jay na kusema kuwa yeye pia anatamani angefanya video za ngoma nyingine pia kama jina langu,bongo Dar es saalam na nyinginezo.
Source:Clouds

No comments:

Post a Comment