Jay Moe aelezea alivyo mmiss Ngwair - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday 5 March 2016

Jay Moe aelezea alivyo mmiss Ngwair




ngeeea
Mwana hiphop mkongwe Tanzania Jay Moe amesema moja kati ya vitu anavyomiss kwa aliyekuwa rapper mkali Tanzania ambaye sasa ni marehemu Albert Mangwea ni ile chemistry waliyokuwa nayo ambayo ilisababisha kutokea kwa ngoma kama kimya kimya na nyinginezo.
Pia Jay Moe ameweka wazi kuwa ana vingi vya kujifunza kutoka kwa maisha ya marehemu Albert Mangwea ikiwemo kuishi vizuri na watu na kuishi maisha yake kama yeye.
he used to be himself ,hakuwa anajichukulia kuwa yeye ni tofauti na watu wengine..ndio maana watu waliomzunguka walikuwa proud na yeye..mnaweza mkawa hamna kitu mnadandia daladala..hakuwa anahisi kupanda daladala inachukua nafasi fulani ya yeye kuwa ngwair,hicho ndicho nilichojifunza kutoka kwake.“alisema Jay Moe.
Source: Clouds

No comments:

Post a Comment