Tayari Tanzania imeweza kung’ara tena anga za kimataifa baada ya wasanii wa filamu za Bongo, Maalufu Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie Richie’ nia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kila mmoja kufanikiwa kutwaa tuzo mbili za Kimataifa za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, zinazofanyika Nchini Nigeria ndani ya mji Lagos.
Elizabeth Michael (Lulu) amefanikiwa kutwaa tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya “MAPENZI” na Richie Richie akitwaa tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya “KITENDAWILI”.
Aidha, Lulu aliweza kuangusha chozi la furaha kwa kutwaa tuzo hiyo huku akmshukuru Mungu pamoja na wazazi wake akiwemo Mama yake Mzazi kwani anaamini amekuwa na safari ndefu katika maisha yake hadi kufikia hapo.
MsaniiLulu katika matukio mbalimbali ya tuzo hizo
Mbali na wasanii wa Tanzania pia wasanii mbalimbali kutoka Bara la Afrika nao walifanikiwa kutwaa tuzo hizo usiku huu ni pamoja na:
BEST ART DIRECTOR (MOVIE/TV SERIES)
The refugees – Frank Raja Arase
BEST TELEVISION SERIES
Daddy’s Girls – Ariyike Oladipo
BEST MAKEUP ARTIST (MOVIE/TV SERIES)
Ayanda – Louiza Calore
BEST SHORT FILM
A day with death – Oluseyi Amuwa
BEST WRITER (MOVIE AND TV SERIES)
Ayanda – Trish Malone
BEST LIGHTING/DESIGN
Common Man- Stanley Ohikhuare
BEST CINEMATOGRAPHY
Tell me sweet something- Paul Michaelson
BEST SOUND EDITING
Marquex Jose Guillermo
BEST PICTURE EDITING
Rebecca- Shirley Frimpong-Manso
BEST COSTUMING
Uche Nancy- Dry
BEST ACTRESS IN A COMEDY
Jenifa’s Diary- Funke Akindele
TRAILBLAZER AWARD
Kemi Lala-Akindoju
BEST MOVIE- SOUTHERN AFRICA
JOYCE MHANGO CHAIGUALA
BEST MOVIE- EASTERN AFRICA
Mapenzi- Elizabeth Michael
BEST MOVIE- WESTERN AFRICA
Chinny Onwugbenu, Chichi Nwoko and Genevieve Nnaji – Road to Yesterday
BEST ACTRESS IN A DRAMA
Falling- Adesua Etomi
BEST ACTOR IN A DRAMA
A Soldier’s Story- Daniel K. Daniel
BEST DIRECTOR
Tell me Sweet Something- Akin Omotosho
BEST OVERALL MOVIE
Dry- Stephanie Linus
No comments:
Post a Comment