SOCIAL MEDIA YAMPONZA 50 CENT - TANZA MEDIA ONLINE

Monday 22 February 2016

SOCIAL MEDIA YAMPONZA 50 CENT

50-cent-bbb
Jaji anayesimamia kesi inayomkabili rapa 50 Cent amemwita rapa huyu mahakamanimapema iwezekanavyo baada ya msanii huyu kuweka picha akiwa na mapesa kibao huku anadaiwa na mwana mama aliyefungua kesi ua madai dhidi yake.
Kwa mujibu wa CNN Money rapa 50 Cent alitangaza kuishiwa July mwaka jana ametiliwa mashaka na mahakama. Jaji amesema “Ninamashaka na uwazi wa mali na utajiei wa 50 Cent,unapokuja kwenye mahakama ya maswala ya fedha na mali lazima uwe muwazi na unapofika jambo basi lazima tuwe na mashaka na ukweli wako“.
Mnamo July 2015, 50 Cent aliamrishwa na mahakama kulia dola milioni $5  kwa mwanamama Lastonia Leviston kwa kosa la kusambaza mkanda wake wa ngono wa mwanamama Leviston ambaye anamtoto wa rapa Rick Ross ambaye ana beef na 50 Cent.
50 cent 50 cent.JPG 2

No comments:

Post a Comment