PREZZO AZIDI KUMKATAA JAGUAR - TANZA MEDIA ONLINE

Sunday 21 February 2016

PREZZO AZIDI KUMKATAA JAGUAR



Mkali wa blingbling na rapa kutoka nchini Kenya Prezzo amesema akisikia jina la msanii mwenzake Jaguar ambaye ni mahasimu wakubwa anasikia kichefuchefu.JAGUAR WHITEPrezzo kupitia kipindi cha Strictly Kenya cha EA Radio amesema anaamini kama mwanaume hatakiwi kumsema mwanaume mwenzake ila Jaguar alikuwa akifanya hivyo na kutumia jina lake kupata kick.prezzoVilevile majuma kadhaa yaliyopita prezzo alikumbana na Diss za kutosha kutoka kwa Watu mbalimbali baada ya kufanya interview na kituo kimoja cha Tv nchini Kenya na kufanya baadhi ya mambo yaliyotafsiriwa kama kumdhalilisha mwanadada mtangazaji live kwenye kipindi.PREZZO KTNPrezzo amesema amerudia kuiangalia interview ile Mara 17 hadi akachoka na hakuona chochote kibaya alichokifanya kwa mtangazaji Huyo na pia mtangazaji huyo alimpigia simu baadaye kumuomba Prezzo radhi.PREZO AND OKARI IN KTN

Hata hivyo taarifa za awali zilieleza kuwa mama yake prezzo alimpigia simu mwanadada huyo kumuomba msamaha kwa kitendo cha mwanaye,kwa sasa Prezzo yupo bongo kushoot video na msanii mmoja wa Kenya na kufanya collabo kadhaa na wasanii wa hapa bongo.

SOURCE: http://mtembezi.com

No comments:

Post a Comment